Matthew 26:67-68

67 aKisha wakamtemea mate usoni na wengine wakampiga ngumi. Wengine wakampiga makofi 68 bna kusema, “Tutabirie, wewe Al-Masihi! Ni nani aliyekupiga?”

Petro Amkana Bwana Isa

(Marko 14:66-72; Luka 22:56-62; Yohana 18:15-18, 25-27)

Copyright information for SwhKC